


Mafunzo ya sheria ya ununuzi wa umma kwa Wajumbe wa Kamati ya PAC
Tuesday, 02 March 2021 12:07
Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (kulia) pamoja na Makamu Mwenyekiti wa PAC Mhe. Japhet Hasunga (katikati) wakimsikiliza Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) Mhandisi Leonard S. Kapongo wakati wa mafunzo ya sheria ya ununuzi wa umma kwa Wajumbe wa Kamati hiyo yaliyoendeshwa na PPRA jijini Dodoma Januari, 28, 2021
Read the Full Story
Matumizi ya Taneps yaokoa zaidi ya bilioni 60 za uchaguzi mkuu
Tuesday, 02 March 2021 11:44
Matumizi ya mfumo wa ununuzi wa umma kwa njia ya mtandao (Taneps) yameiwezesha Serikali kuokoa zaidi ya shilingi bilioni 60 kati ya fedha zilizokuwa zimetengwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.
Read the Full Story
Viongozi wa taasisi watakiwa kuwa vinara vita dhidi ya rushwa
Wednesday, 10 February 2021 11:17
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Bunge, Bw. Tixon Nzunda, amewataka viongozi wa taasisi za Serikali kutonyamazia vitendo vya rushwa na ubadhirifu kwenye ununuzi wa umma
Read the Full Story
What's New
-
Training Calendar for TANePS and PPA (click links below) +
-
Latest Tanzania Procurement Journal +
To… Read More -
Public Notice +
-
Revised Dates for Annual Procurement Governance Workshops for Fy 2020/21 +
- 1
- 2
- 3
- 4
- 5
- 6
- 7
- 8
- 9
- 10
- 11
- 12
- 13
- 14
- 15
- 16
- 17
- 18
- 19
- 20
- 21
- 22
- 23
- 24
- 25
- 26
- 27
- 28
›
‹
Guidelines
- Procurement of Conference Services from Public Bodies
- Procurement of Capital Equipments, Materials, Products and Related Services for Development of Industries
- Determination of Major and Minor Deviation
- Participation of Public Bodies in Public Procurement
- Participation of Special Groups in Public Procurement
- Advertisement and disclosure forms
- Circulars to Procuring Entities
- Preparing Responsive Proposals