



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Mhe Kassim Majaliwa Majaliwa(Mb), akipokea tuzo ya shukrani kwa mchango wake katika kufanikisha uzinduzi wa wiki ya Ununuzi wa Umma
Wiki ya Ununuzi wa Umma
Yanayojili katika wiki ya Ununuzi wa Umma katika ukumbi wa AICC - Arusha
Yaliyojili katika wiki ya Ununuzi wa Umma katika ukumbi wa AICC - Arusha
Public Procurement Week evaluation Form
Wizara ya Fedha na Mipango kwa kushirikiana na PPRA, PPAA, GPSA na PSPTB, inapenda kuwakaribisha wadau wa Ununuzi wa Umma nchini kushiriki Wiki ya Ununuzi wa Umma itakayofanyika tarehe 5 – 7 Mei, 2022, Jijini Arusha.
Mgeni Rasmi ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa. Kauli Mbiu ni “Matumizi ya Teknolojia katika Kuboresha Ununuzi wa Umma”.
Washiriki wa tukio hilo ni;
- Wajumbe wa Bodi za Wakurugenzi
- Wakuu wa Taasisi
- Wajumbe wa Bodi za Zabuni
- Wataalam wa Ununuzi na Ugavi
- Watumishi wa Idara za Sheria
- Wakaguzi wa Ndani na Idara Tumizi
- Wazabuni
- Watoa huduma
- Makandarasi
- Washauri Elekezi (Consultants)
- Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu
- Washirika wa Maendeleo
- Wawakilishi kutoka Asasi za Kiraia na makundi maalum katika Jamii
Ada ya ushiriki ni Shilingi Laki tano (500,000/-) tu. Kuthibitisha ushiriki wako, tafadhali jisajili na kufanya malipo kupitia tsms.ppra.go.tz
Mwisho wa kujisajili ni tarehe 30 Aprili, 2022.
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa namba 0754 201 032 au 0785 455 034.
Guidelines
- Procurement of Conference Services from Public Bodies
- Procurement of Capital Equipments, Materials, Products and Related Services for Development of Industries
- Determination of Major and Minor Deviation
- Participation of Public Bodies in Public Procurement
- Participation of Special Groups in Public Procurement
- Advertisement and disclosure forms
- Circulars to Procuring Entities