Monday, May 16, 2022
   
Text Size

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Dkt. Irene Charles Isaka, kuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Kudhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA). .

Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa tarehe 13 Novemba, 2021 na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Bwana Jaffar Haniu, uteuzi huo ulianza tarehe 9 Novemba, 2021. .

Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Irene Isaka alikuwa Katibu Mtendaji wa East and Central Africa Social Security Association (ECASSA). Aidha, Dkt. Isaka aliwahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa iliyokuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)..

Dkt. Isaka anakuwa afisa mtendaji mkuu wa nne wa PPRA, akiwa ametanguliwa na Dkt. Ramadhani Mlinga, Dkt. Laurent Shirima, na Mhandisi Leonard Saasita Kapongo.

En cilgin hd porno videolari icin sitemizi ziyaret ediniz.Yerli yabanci escort bodrum kizlari burada